Tip top connection na Bongo fleva zimepata huu msiba mkubwa leo…

pippTasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia leo March 28.
bongeee
Abdul Bonge enzi za uhai wake
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika endelea kuwa karibu na  millardayo.com kwa taarifa zaidi.
Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa leo March 28.
Niko karibu na wewe mtu wangu, nakusogezea kila story wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook. Jiunge na mimi kwa kubonyeza hapa>>> twitter Insta Facebook

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni